B Blaza Musa Member Joined May 25, 2013 Posts 28 Reaction score 5 May 26, 2013 #1 miaka 25-30 elimu kuanzia kidato cha nne asiwe mlevi awe mkristo asiwe amezaa awe tayari kuishi dar au Mbeya NB-kama upo serious niPM
miaka 25-30 elimu kuanzia kidato cha nne asiwe mlevi awe mkristo asiwe amezaa awe tayari kuishi dar au Mbeya NB-kama upo serious niPM
Miss Malima Member Joined Feb 5, 2013 Posts 39 Reaction score 5 May 26, 2013 #2 Weka CV yako Blaza Musa! Umeweka cfa za mke unayemtaka, zako je? Sent from my BlackBerry!
J jakarason1974 Senior Member Joined Apr 3, 2012 Posts 103 Reaction score 50 May 26, 2013 #3 wake hawatafuti. wewe tafuta marafiki then ikitokea mumelewana na mmoja wao. then unaongea naye umwambue utafikiria
wake hawatafuti. wewe tafuta marafiki then ikitokea mumelewana na mmoja wao. then unaongea naye umwambue utafikiria
B Blaza Musa Member Joined May 25, 2013 Posts 28 Reaction score 5 May 26, 2013 Thread starter #4 Miss Malima said: Weka CV yako Blaza Musa! Umeweka cfa za mke unayemtaka, zako je? Sent from my BlackBerry! Click to expand... Nina miaka 30,sinywi pombe,elimu ya chuo kikuu,nimejiajiri (nayamudu maisha),Mkristo
Miss Malima said: Weka CV yako Blaza Musa! Umeweka cfa za mke unayemtaka, zako je? Sent from my BlackBerry! Click to expand... Nina miaka 30,sinywi pombe,elimu ya chuo kikuu,nimejiajiri (nayamudu maisha),Mkristo
B Blaza Musa Member Joined May 25, 2013 Posts 28 Reaction score 5 May 30, 2013 Thread starter #5 Nipo serious jamani bado sijapata
liyah New Member Joined Mar 20, 2013 Posts 2 Reaction score 1 May 30, 2013 #6 Mbona ujasema awe na tabia gan..ata kama kahaba ilimradi anasifa hizo?
B Blaza Musa Member Joined May 25, 2013 Posts 28 Reaction score 5 May 30, 2013 Thread starter #7 liyah said: Mbona ujasema awe na tabia gan..ata kama kahaba ilimradi anasifa hizo? Click to expand... Siamini kama kunaweza kukawa na kahaba humu na pia hata nikisema sitaki kahaba sidhani kama kuna anayetaka kuolewa atasema mimi nataka kuolewa lakini ni kahaba.Nadhani umenielewa
liyah said: Mbona ujasema awe na tabia gan..ata kama kahaba ilimradi anasifa hizo? Click to expand... Siamini kama kunaweza kukawa na kahaba humu na pia hata nikisema sitaki kahaba sidhani kama kuna anayetaka kuolewa atasema mimi nataka kuolewa lakini ni kahaba.Nadhani umenielewa
M mannu Member Joined Jun 6, 2013 Posts 36 Reaction score 5 Jun 8, 2013 #8 ukimpta utulie kwa huyo mmoja sawa mkubwa