Natafuta mke

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,774
Salamu wadau natumaini wote mu wazima mimi ni mtanzania naishi na kufanya kazi Moshi, Kilimanjaro, nina miaka 37 sasa, mke ninayemtaka awe mkristu mwenye kujiheshimu. E-mail yangu ni peterchuwa@gmail.com
 
ungeniwai kidogo tu...navopenda watu wa kishimundu..nilipata huku juzijuzi
 
Oohh Blessings... Bado hujapata tuu??
 
Natanguliza Ongela dhangu dha zati.
 
mke wa maana kapige magoti uombe!Humu jamvini haki sawa utawaweza?
 
hebu eleza vzr hzo sifa,mi mfupi,mweusi(kifutu)nitakufaa!teh teh teh
 
Hawezi kupata maana, mchaga toka lini akawa na polite language ambayo wanawake wengi wanapenda!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…