[emoji3][emoji3][emoji3]badili mkuu ,kuolewa siku izi kugumu mno ,fursa ikitokea itumieNgoja nibadili dini chap
Sema nimezeekaππHii inakuhusu, vigezo vyote vimetimia kabisa, mkizama huko chumbani maswala la jiografia yazingatiwe. Mahusiano ya mbali mbali ni kichefuchefu.π
Amesema 35 kushuka chini,naamini hata 28 bado, acha woga changamkia fursa kwa ustaadhi huyo.π€£Sema nimezeekaππ
Kuolewa ni kurahisi mno ila sema unaolewa na nani ndiyo tatizo mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]badili mkuu ,kuolewa siku izi kugumu mno ,fursa ikitokea itumie
Weeee π€π€π€mwenetu ataenda kufaidi pishi lako na wwERoni hebu njoo nishauri kwanza πππ
πππKhaWeeee π€π€π€mwenetu ataenda kufaidi pishi lako na ww
Kitu kimepigwa sodium dry ether, 250'c & nickel raha mara mbili
Lishangazi mieπππAmesema 35 kushuka chini,naamini hata 28 bado, acha woga changamkia fursa kwa ustaadhi huyo.π€£
Acha woga, ndoa popote tu. Shangazi ni dada zako 35+ hukoπ€£Lishangazi mieπππ
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kila la kheri mkuu.. ukipata wengi mgawie na dronedrake aache kuchezea mafuta