Natafuta mke

Ila tatizo hapo kwenye "Stable economy"hapooo si atasema tuchange huyu
Acha uoga 😀😀
Ukienda kwenye intavyuu andaa na kipeperushi kusahau mezani kiwe kimeandikwa
WANAWAKE HAWAJAWAHI KUPATA HELA MILELE 😂😂😂
 
Acha uoga 😀😀
Ukienda kwenye intavyuu andaa na kipeperushi kusahau mezani kiwe kimeandikwa
WANAWAKE HAWAJAWAHI KUPATA HELA MILELE 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 Vipengele vyote vya mkataba safiiii...tatizo ni hapo...
Je unahisi hiyo njia itasaidia?
 
Kigezo kingine ajue kusoma na kuandika kingereza
 
Wanawake wenye stable income woote siyo Wasomi, shauri yako.
 
Clock ikigonga 40 nakushauri ujipitishe pitishe kwa 50+ na si vinginevyo.
 
Njoo PM, rafiki yangu anatafuta mume.
 
Weka mshahara wako na siyo kazi:
Wanawake wanataka hela yako na si kazi yako;
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…