Hup undezi kijana vitumbua mtaani kwenu havipo mpk uje kwenye social media. Utakuja kuoa Majini πππMimi ni kijana,nina miaka 37 kwa sasa,niliwahi kua na girlfriend tu,tukapata mtoto mmoja,tokana na changamoto za hapa na pale,tuliachana na kila mtu akawa na maisha yake, mtoto wangu kwa sasa yuko form 1.
Kazi yangu nimeajiriliwa serikalini,kwenye moja ya taasisi zake za vyombo vya Ulinzi na Usalama,nikiwa mvaa overall,
Sifa za mwanamke au binti ziwe kama ifuatavyo, awe mcha Mungu,dini Mkrito Roman Catholic, Anglicaka au KKKT sio mbaya sana. Awe na Elimu walau kuanzia form four na awe tayari kufanya hata Biashara ambayo tutakubali kuifanya Mimi na yeye! Kabila lolote tu! Mwenye nia njema namkaribisha inbox
We Kaka acha kutuzibiaHup undezi kijana vitumbua mtaani kwenu havipo mpk uje kwenye social media. Utakuja kuoa Majini πππ
Kuna mmoja yupo hapa katesh Kijiji cha ngwandu nikufanyie connection?Mimi ni kijana,nina miaka 37 kwa sasa,niliwahi kua na girlfriend tu,tukapata mtoto mmoja,tokana na changamoto za hapa na pale,tuliachana na kila mtu akawa na maisha yake, mtoto wangu kwa sasa yuko form 1.
Kazi yangu nimeajiriliwa serikalini,kwenye moja ya taasisi zake za vyombo vya Ulinzi na Usalama,nikiwa mvaa overall,
Sifa za mwanamke au binti ziwe kama ifuatavyo, awe mcha Mungu,dini Mkrito Roman Catholic, Anglicaka au KKKT sio mbaya sana. Awe na Elimu walau kuanzia form four na awe tayari kufanya hata Biashara ambayo tutakubali kuifanya Mimi na yeye! Kabila lolote tu! Mwenye nia njema namkaribisha inbox
Hivi wewe ni single?We Kaka acha kutuzibia
Nimeacha mama π€£π€£π€£π€£We Kaka acha kutuzibia
Unaongea na mimi?Hivi wewe ni single?
Wazee Wa fursa anyway tusubilie ajibu ????Hivi wewe ni single?
Tena best, hanataka kupeperusha ndege tunduni.We Kaka acha kutuzibia
Wewe huitaji ,,,Joline...Wale mnaotafuta kuolewa jmn nafasi imejitokeza kazi kwenu.
Hapana sihitaji mkuu
Vipi!?
Ooohooo ok endelea basi kunitafuta .