Natafuta mke

Manengelo dada ako anaivo vgezo?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtafutaji yuko serious ila hajajua mahali pa kupata dunia hii watafuta mke kihivyo uko nyuma sana mkuu ila pambana
 
Anatafitiwa wap mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtafutaji yuko serious ila hajajua mahali pa kupata dunia hii watafuta mke kihivyo uko nyuma sana mkuu ila pambana
 
Unaishi porini ama, mtaani kwetu rika lako wote ni wanaume..??
 
[emoji23][emoji23][emoji23].sitaki nnaojua tabia zao..wengi wameliwa na jamaa zangu wa karibu ,ivo itakua fedheha

humu wapo ila wanataka mwanaume alofanikiwa kimaisha,ndo mana nimekazia kwenye uzi kua nipo timamu kiuchumi!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtafutaji yuko serious ila hajajua mahali pa kupata dunia hii watafuta mke kihivyo uko nyuma sana mkuu ila pambana
 
Ngoja jf uchukue niliye mkula ndiyo utagundua bora mtaani kwako..!

"Bora shetani uliyemzoea kuliko shetani mpya"
[emoji23][emoji23][emoji23].sitaki nnaojua tabia zao..wengi wameliwa na jamaa zangu wa karibu ,ivo itakua fedheha
 
Write your reply...mkuu kuna huyu anaitwa Sexless mwengine @raybyb embu waoe mmoja wapo wawe busy wasiingie humu na nyuzi zao zisizoeleweka
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nipigie pas mkuu wala hutowaona tena mana watakua busy kulea!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…