Natafuta mke!

Allymisi

Member
Joined
Mar 26, 2011
Posts
12
Reaction score
0
As alaykum.Naitwa Ally, ni mwalimu shule ya sekondari serikalini,umri ni miaka 25.Natafuta mke wa kumuoa Serious! Awe na sifa:
*Muislamu Mchamungu
*Asizidi miaka 22
*Awe amehifadhi Quran Tukufu kuanzia Juzuu 3...
Inshaallah tutafunga ndoa ndani ya mwaka huu na Hatutaingiliana mpaka tuhalalishwe.Wabillahi Tawfyq.Kama upo tayari niandikie ukurasa huu tupeane mawasiliano zaidi!.WABILLAHI TAWFYQ!
 
Nilikimbilia hii sred nikizani nimepata mume kumbe No.
Allymisi umezidi masharti.
Kila la kheri kwenye pamgo wako
 
Dah,warembo siku hizi ni mitandaoni tu sio mitaani kwetu tunapo ishi jamani

Nakutakia yaliyo mema na utakae mpata
 
good luck,mkipata mtuambie,mara nyingi huwa nasisitiza.sijawahi kuona mtu akasema ameshapata mchumba j.f au kutangaza ndoa ambayo wamependana kupitia jf.au baadhi ya watu humu wanamalizana kimya kimya?
 
Sawa kaka tuombeane Mungu maana hatufanani!.Mchana mwema
 
Angalia usije pata forum ya mengine badala ya umtafutaye..... All the best though.......
 
I wish I am that age! I have the required qualifications but number 2 inanidisco. Wachamungu siku hizi ni watu wazima waliostaafu, sala tano inakuwa rahisi. Any way, Good Luck.
 
All the best, Broda.. Muombe Mungu pia!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…