Mhh, huo uwazi ukoje? Au unamaanisha nini?Habari za leo wana JF
Najitokeza mbele yenu ili kuweka wazi yaliyo moyoni mwangu. Sifa zangu ni kama ifuatavyo:-
- Umri miaka 43
- Elimu ya chuo kikuu
- Mkristo aliyeokoka
- Nina watoto 3 ambao mama zao wameshaolewa
- Nimeajiriwa
- Mimi ni mweusi, umbo la kati
- Raia wa Tanzania
Ninahitaji kuanzisha mahusiano yenye lengo la ndoa na mwanamke mwenye sifa zifuazo:-
- Awe na miaka 22 - 29
- Elimu ya Diploma au zaidi. Awe anajua kuongea kiingereza fasaha.
- Mkristo aliyeokoka au ambaye yuko tayari kuokoka
- Aweke wazi hali yake ya uzazi na awe tayari kulea watoto atakaowakuta kwa moyo wake wote bila ubaguzi wa aina yoyote. Pia niko tayari kumpokea yeye na mtoto / watoto wake kama anao. Ila tuwekane wazi tu.
- Awe ameajiriwa
- Awe mweupe au maji ya kunde
- Awe mwembamba au umbo la kati lakini si mnene.
Mwenye nia anitumie private message (PM). Asanteni sana.
Nina maana kuwa aseme kama naye ana mtoto / watoto ama laMhh, huo uwazi ukoje? Au unamaanisha nini?
Ahaa, sasa nimekupataNina maana kuwa aseme kama naye ana mtoto / watoto ama la
Hapo kwenye kuokoka kumenikosesha mume unataka kufungua kanisa?😀[/QUOTE
Hapana. Ni aina tu ya maisha ya familia ninayoyataka
Ndiyo mkuu.Mkristo ulieokoka una watoto 3 ambao mama zao wameshaolewa wote!??!![emoji30] [emoji30]
kama kaokoka jana je? unene umenikosesha mumeMkristo ulieokoka una watoto 3 ambao mama zao wameshaolewa wote!??!![emoji30] [emoji30]
Hongera sana mtu wa Mungu! [emoji30] [emoji30] [emoji30]Ndiyo mkuu.
Laana ya kunikataa itakutesa sana![emoji30]kama kaokoka jana je? unene umenikosesha mume
ahahaa weeeLaana ya kunikataa itakutesa sana![emoji30]
hahahaaaa!!Mkristo ulieokoka una watoto 3 ambao mama zao wameshaolewa wote!??!![emoji30] [emoji30]