Natafuta mke

Wasomba

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2016
Posts
558
Reaction score
813
Wakuu Natafuta mke
Umri awe na miaka 25 kuendelea.
Elimu diploma na kuendelea.

Umri miaka 38.
Nimeajiliwa serikalini.

Wewe dada unayejiona unaweza kuisha na mwanauame kwa upendo na amani nakuhitaji. Njoo mke wangu. Nitakupenda na kukijali.


Kama hauko serious please usije inbox.
 
Ndo utakuwa unaoa mara ya kwanza yaan ukimpata au?
 
Kuna thread ulisema una miaka 40 leo 38 tuamini ipi
Forget about 40. I am 38. Taarifa shogun uwa tunapeana inbox. Maandalizi mema ya new year.
 
Itakuwa ulikimbilia kuomba papuchi mkuu! ......sio bure, mambo mazuri hayataki haraka pole sana[emoji30]
 
Itakuwa ulikimbilia kuomba papuchi mkuu! ......sio bure, mambo mazuri hayataki haraka pole sana[emoji30]
Papuchi ndiyo nn? Naomba nifunge mjadala wa hii story. Asante.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…