moses Mwanja
JF-Expert Member
- Oct 8, 2016
- 534
- 463
Xawa nawasubir mkuuWe usubir watapita hapo kwenye qualification zao
Kwa uandishi huu naona bado haujawa serious kutafuta mkeXawa nawasubir mkuu
Ningekupa mdogo angu ila umenikera hapa we shemejiXawa nawasubir mkuu
moses Mwanja Mkiambiwa muache uandishi wa kifesibuku mnajifanya wajuaji, ona sasa unakosa mke kisa kutumia "X" badala ya "s"Ningekupa mdogo angu ila umenikera hapa we shemeji
Nimekukera nin mkuuNingekupa mdogo angu ila umenikera hapa we shemeji
Niko serious kabisaaKwa uandishi huu naona bado haujawa serious kutafuta mke
Kupigiwa mbupu kawaida mkuu kwan nimesema nataka bikra?Uwe tayari kupigiwa mbupu.
Kama upo kampala shuka hapo Rwanda tuletee na sisi hukuNatafuta mke awe mwalimu nurse au mjasiriamali, mim naish dar lakin kwa sasa nipo Kampala ki
Kikazi. Mim ni mechanics.umri miaka 20_25.
Dah hiyo ndo lugha ya Tanzania yetu mkuu si umeelewa lakin mkuumoses Mwanja Mkiambiwa muache uandishi wa kifesibuku mnajifanya wajuaji, ona sasa unakosa mke kisa kutumia "X" badala ya "s"
Nikuletee mke na wew mkuuKama upo kampala shuka hapo Rwanda tuletee na sisi huku
Usipokuja na wa kwangu taabu kwako bossNikuletee mke na wew mkuu
Dah ila wa huku wazuri xna isipokuwa wamenishind yaan kweny mambo yet hna kitu zaid m****ji meng xna mkuu cjui lama utarizikaUsipokuja na wa kwangu taabu kwako boss