Wewe ugeni wa jukwaa unakuchanganya,hauoni hapo juu pameandikwa love connect,au unafikiri kazi yake nini..Kwani huko unakoishi ujawaona mpaka uje humu. Mke wa kuoa atafutwi huku baba upo,
Binti hyo avatar ni matatizo, alooo hizo bastola mie hoi...kumuumbe mwenyewe mwenye vigezo vyoteee aisee
mleteedada angu jike shupa,but anatabia nzur nkupe #!?
Dah anyway goodluckMe nikijana nina umri wa miaka 27 ni muajiriwa wa sector binafsi ya Mali asili nina kipato cha kukizi maitaji yote.
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo;
Rangi yoyote.
maziwa yawe sio makubwa au kulala.
Awe na shepu la kimahaba sio kubwa sana.
Awe na Heshima mchapakazi Kitandani adi kwenyee shuguli za maishi. yakawaida kabila asiwe Mkurya au mchagga tu bahsiii mengine tutafundisha. ndugu zangu kama una dada yako au ndugu yako kakaa kiasara mpe taharifa ani Pm nampigia.
Usipo pata akili mapema utaendelea kuwatafuta hivyo hivyo na kila unaye mpata huta mpenda, if you real need somebody swallow your pridenishapata wawili semaa sijawapenda
asantee mkuu kunafungu lako lausumbufuNgoja nkakutaftie mkuu,
Ntarudi baadae, kuna pini 2 ziko mahali ngoja niziwahi
asantee na ww piaDah anyway goodluck
MBONA KAMA MSHAMBA WEWE? UNATOKEA WAPI?TUANZIE HAPO LABDA?Me nikijana nina umri wa miaka 27 ni muajiriwa wa sector binafsi ya Mali asili nina kipato cha kukizi maitaji yote.
Natafuta mke mwenye sifa zifuatazo;
Rangi yoyote.
maziwa yawe sio makubwa au kulala.
Awe na shepu la kimahaba sio kubwa sana.
Awe na Heshima mchapakazi Kitandani adi kwenyee shuguli za maishi. yakawaida kabila asiwe Mkurya au mchagga tu bahsiii mengine tutafundisha. ndugu zangu kama una dada yako au ndugu yako kakaa kiasara mpe taharifa ani Pm nampigia.
Dar esalamuMBONA KAMA MSHAMBA WEWE? UNATOKEA WAPI?TUANZIE HAPO LABDA?
UMEKUJA LINI DAR?Dar esalamu
sasa wanawake hujawaona toka 2000, unakuja tafuta umu? alafu hivyo ndivyo wanavyo tafuta mke namna hiyo? au unatudanganya! wewe unatokea kijijini! kwanza hizo ofisi za misitu ziko wapi hapa dar?toka 2000
upeo wako unaonyesha kabisa uko under 27 unaforce, wala haupo dar! na huna nia ya kuoa ila unataka kuvunja amri tuu! unafikiri ndoa ni kufanya mapenzi pekeyake! ndivyo mnavyo danganyana uko vijiweni! nenda ujipange bana la sivyo nenda facebook kwa watoto wenzio!ayo maswali angeniuliza dada yako ningejibu wewe utonisaidia