yawezekana, wapo wenye umri huo waliomaliza shule na pia wakawa na kazi. Ni wengi, tatizo lako unafikiria kuwa ni lazima awe na elimu ya Juu, kwangu hiyo ni immaterial.Naona unataka kulea katoto! Sasa miaka 20 atakuwa kashamaliza shule na kazi juu?
yawezekana beib rubii, lakini si mbaya kuwa na mwenzako wa kusaidia mawazo na pia kutimiza nae amri ya Allah. Wawili ni bora kuliko mmoja.
Chukua aliyekuzidi umri mana kama mdogo kwako tayari unae na bado hujatosheka[emoji85] [emoji85]Pendekeza umri amabo unaona unafaa, am flexible. niliye naye sasa ana 30
Tulia na uliyenae sasa ivi wanawake wazima waameanza kuwa adimu utafanya watu watembee na mkeo.Pendekeza umri amabo unaona unafaa, am flexible. niliye naye sasa ana 30
Sawa ngoja nipite, ila jiandae kuja na thread umu "Mke wangu ana mahusiano ya kimapenzi na jirani/rafiki yangu"Kila mtu anauamuzi wake, i dont need your instructions. Kama ukiona vipi pita tu.
Gari bovu huvutwa nagari zima, sasa wazee wangu watabustije?
Kwa huo mshahara utaweza kuwamudu wake wawili?Hi wanaboard.
Hope mnaendelea vyema.Japo ni gumu kuleta ombi hili mbele ya JF lakini wacha nilitoe.
Natafuta Mke wa Pili wa Kuoa ili niweze kutimiza maamrisho ya Imani yangu ya uadilifu.
(Quran 4:3)
...oeni mnaowapenda katika wanawake, wawili au watatu au wane. na mkiogopa kuwa hamwezi kufanya uadilifu, basi mmoja tu, au wale ambao mikono yenu ya kulia imewamiliki. Kufanya hivi ndiko kutapelekea msikithirishe wana.
Am Tazanian Muslim, 40yrs of an age. Mimi nina kipato changu cha wastani wa 2mil. kwa mwezi.
Nshapima UKIMWI, sina(Alhamdullillah)
Mke huyo awe Muislamu mwenye umri usiozidi miaka 20(Sunna), mzuri(napenda mweupe, figure namba 8, urf around ft 6 ivi), awe mfanyakazi/mfanyabishara na awe tayari kupima UKIMWI na maradhi mengine ambukizi
Kwa huo mshahara utaweza kuwamudu wake wawili?
Nimesoma lakini kwenye ndoa hizi za kiswahili mambo hayaendi hivyo hata kama mkiwekeana mkataba ni LAZIMA Mke akulalie kwenye masuala ya finance.Mkuu,
Soma thread yake. Anasema, Huyo bibie awe na kipato, Mshahara au biashara halali yenye kipato ili wasaidiane. 2 mill zake ni zake
Wapo sheikh wangu, hasa wale wenye mapenzi na Allah, wale wanaojua kuwa kuingia kwenye ndoa ya aina hii ni ibada kubwa sana. Wao na wewe mtayafanya yote kwa mapenzi ya Allah, hakuna kupasuana kichwa. Mbona Mtume wetu Muhammad (SAW) aliweza, mbona kuna wengi tu wameweza. Babu yangu alikuwa na wake wawili ambao aliishi nao kufa na kuzikana, hivyo hivyo kwa baba yangu.Chiwaso;
Are u serious?? Isijekuwa unatughilib akili tu hapo. Dunia ya leo karne hii ya 21 kuna mtu kweli anathubutu kumtafuta mwanamke wa pili!!!! Huyu mmoja tu kanishinda kumtimizia mahitaj yake sembuse wawili??
Mke si mleta ni mletewa. Akiweza tu kununua kibiriti, piga ua, kishajiona boss ndani ya nyumba. Hata kama kailimishwa kivipi na maudhui mema kapewa vipi, huwezi mwambia lolote akuskie. Tena wasema wa pili. Dah! Kaka umeumia. Tena Kigholi miaka 20 mwenye kipato chake!! Naota au ndo ukweli?? Atakuwa na shida gani jamani, Tena mwenye kipato chake kizuri, tena atii mwenye figure 8. Kwako afuate kuzaa tu, Huku akipimiwa siku na saa ya kuwa nawe, na akijazaa tena alelee mtoto kwa fweza yake. Jamaniii
Haya bannaa huenda mwenzetu una mbinu flan umeshazitumia kumzughisha huyo bint wataka tu kuhalalisha.
Wapo sheikh wangu, hasa wale wenye mapenzi na Allah, wale wanaojua kuwa kuingia kwenye ndoa ya aina hii ni ibada kubwa sana. Wao na wewe mtayafanya yote kwa mapenzi ya Allah, hakuna kupasuana kichwa. Mbona Mtume wetu Muhammad (SAW) aliweza, mbona kuna wengi tu wameweza. Babu yangu alikuwa na wake wawili ambao aliishi nao kufa na kuzikana, hivyo hivyo kwa baba yangu.
Last year sikuwa tayari, ila kuna Bint/Mdada mzuri sana mwenye iman thabiti, mweney kazi yake aliniomba sana awe mke wangu wangu wa pili, tatizo kw sababu sikuwa tayari kwa hilo nilishindwa. This year niko tayari, na Inshallah ninaamini Allah atatia baraka zake ntampata.
kila la kheri kaka kumpata mwenye kipato si mbaya,Mtume (s.a.w) alishatuambia kipato sawa yaweza kuwa sababu yako ya kumuoa mke ila kasisitiza sana kwenye imaniMweney kipato ni bora ili tusaidiane maisha, ni kama vile mama yetu Bi hadija(RA) alikvyokuwa msaada mkubwa kwa Mtume Muhammad(SAW).