Natafuta mke wa kuoa

mama na baba

Member
Joined
Jan 5, 2015
Posts
33
Reaction score
1
Mimi niki kijana mwenye umri wa miaka 26 naishi mkoa wa kigoma wilaya ya kasulu full aina ya vyakula pande izi

Nataufuta binti wa kuoa aliyeko mahali popote katika Tanzania hii

Kama uko tayari bipu utapigiwa namba yangu ni

0656936345
 
sasa hata kuandika hujui,utamuoa nani?
 
Kjna hajui huyu,kasulu mtaa gani nikutafte
 
wewe dogo kavu kweli, huo ujinga wako kapost MMU, hili jukwaa la kazi.
 

***** zako
 

Cc. miss chagga nifah
 
Last edited by a moderator:

Cc. Evelyn Salt Madame S
 
Last edited by a moderator:
Ndio maana ukakosa mke, unakosea sana, mtaani huko unakosea na humu JF pia umekosea. au unatafuta mke pamoja na kazi kwa pamoja.hongera
 
unatafuta binti wa kuoa mitandaoni eee....jiangalie dunia imekengeukaaa
 
Kwa nini unatafuta mke wakuoa kitu gani kimekufanya uchukue uamuzi huo? Kukosekana kwa jibu au kupatikana kwa jibu sahihi kinaweza kukakupa mtu wakufanya mchakato nae.
Jimwage wakusikie.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…