T TRUVADA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 4,539 Reaction score 1,773 Sep 25, 2014 #1 Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ni mwajiriwa serikalin natafuta mke wa kuoa . Kwa sasa nipo mwanza kikazi Sifa Mwislam na mcha mungu Umri 20-29 Kabila rangi sibagui Elimu kuanzia form four na kuendelea Kwa aliye serious tu tafadhali anaweza kuni PM nika toa namba yangu Kuwa si liana kwenye email rehemaalfan@gmail.com Inshallah
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 30 ni mwajiriwa serikalin natafuta mke wa kuoa . Kwa sasa nipo mwanza kikazi Sifa Mwislam na mcha mungu Umri 20-29 Kabila rangi sibagui Elimu kuanzia form four na kuendelea Kwa aliye serious tu tafadhali anaweza kuni PM nika toa namba yangu Kuwa si liana kwenye email rehemaalfan@gmail.com Inshallah
K Kifuna JF-Expert Member Joined Aug 7, 2008 Posts 443 Reaction score 118 Sep 25, 2014 #2 Una uhakika unataka mke? mke hatafutwi huku, huku utapata majibu sasa hivi kaa mkao wa kupokea majibu.
Una uhakika unataka mke? mke hatafutwi huku, huku utapata majibu sasa hivi kaa mkao wa kupokea majibu.
Fareal JF-Expert Member Joined Aug 19, 2013 Posts 825 Reaction score 267 Sep 25, 2014 #3 mbona hiyo email ina jina la kike,,ni yako kweli.?
T TRUVADA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2014 Posts 4,539 Reaction score 1,773 Sep 25, 2014 Thread starter #4 farijiel said: mbona hiyo email ina jina la kike,,ni yako kweli.? Click to expand... Wala email iskutishe hiyo ni username tu nimeamua kuitumia
farijiel said: mbona hiyo email ina jina la kike,,ni yako kweli.? Click to expand... Wala email iskutishe hiyo ni username tu nimeamua kuitumia