TheBuilder
JF-Expert Member
- Apr 21, 2014
- 237
- 212
We ni husband material nimekuona kabisa
dah basi tu mie ila...
dah ngoja tu nife na tai yangu shingoniVipi Eve, hiyo ila.... ina maanisha nini?
Kweli hii mitandao inawasaidia madomo zege..
dah ngoja tu nife na tai yangu shingoni
Vipi Eve, hiyo ila.... ina maanisha nini?
Hahaa! l ila yake nahisi ipo hapo penye kigezo cha shape na kajungu, mbona mtihaniiii mweh!
Kweli hii mitandao inawasaidia madomo zege..
Ndio maana wachina wanauza dawa za kuongeza hivyo vijungu; maana wakati mwingine unaweza kukosa mtu kisa huna kijungu..... loh dunia msongamano
Hahaa! l ila yake nahisi ipo hapo penye kigezo cha shape na kajungu, mbona mtihaniiii mweh!
Kila la heri msanifu wa majengo,jitahid umpate aliye sahihi asijekuwa msumbufu ukatuwekea jengo la kuanguka
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ndio maana wachina wanauza dawa za kuongeza hivyo vijungu; maana wakati mwingine unaweza kukosa mtu kisa huna kijungu..... loh dunia msongamano