Natafuta mke wa kuoa

Mkwezi1987

Member
Joined
Nov 12, 2017
Posts
5
Reaction score
12
Naitwa F mwenye umri 36, dini mkristo, kazi nimejiajiri, mrefu kiasi.

  • Natafuta mke wakuoa mwenye sifa hizi;
  • Umri - 33-38
  • Dini- Mkristu
  • Elimu - Kidato cha sita na kuendelea.
  • Mtoto - Akiwa naye siyo mbaya.
  • Kabila - Lolote.
  • Urefu- 5.6".
  • Muonekano - Awe wa kati.
  • Kazi - Yeyote ili mradi mkono uingie kinywani.
  • Awe tayari kupima HIV.
  • Awe na hofu ya Mungu (akiwa TAG siyo mbaya).
Mwenye utayariau nicheck aje tuyajenge pm.+255 786 295 976
 
Unataka kulima halafu unachagua jembe!!

Utasubiri sana mwenye sifa ulizoorodhesha
 
Mim natafuta mke, kigezo ni kimoja tu;
Awe na umri kati ya miaka 23-27 (HIV negative)
 

Hivi kinachofanya mtu atafute mwenza kwenye mtandao ni nini hasa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…