mbisi mercy
Member
- Jan 8, 2015
- 12
- 1
Sisi wafupi sasaMimi ni mume mtrajiwa
Umri 42
Urefu futi 6.2
65kg
Maji ya kunde
Naishi na kufanyakazi temeke/dar
Elimu-degree
-Nina hasira japo fupi
-Nina katabia ka kug'ang'ania
-wakati mwingine ni mchokoz kidogo
VINGINEVYO Mimi ni mpole na mkarimu
Natafuta aliyejiandaa kuolewa(MKE)
Aliyeelimika(hekima)
Mrefu,Umri 20 hadi 38
Asiwe au awe na mtoto
Asiwe au awe na kazi/biashara-ok.
Awe na kazi au kitu anachofanya kanisani
Asinifiche udhaifu wake
Awe Christian ,awe au asiwe na kabila
Tuwe serious tafadhali na sihitaji wa kuonja
Nathamini kila mdonyoo wa kidole chako
Asanteni,karibu ,tukutane pm .
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
1:42 yrs sio mbaya ila usiwe 42 hata nyumba hujajenga bado unapanga iyo taabu nyingine
42 yrs, usiwe bado una panda daladala, temeke , mawasiliano
3: 42 yrs use hata na uwezo wa kumtolea mahali Dada wa watu.
4: 42 yrs usiwe ni wale wanaume wavulana wanalia ovyo mitandaon, akitoa 10000 tu anaanzisha Uzi.
5: 42 yrs usiwe wale wanaume wa Jf watakao on a hii comment comment yangu wakaanza kuninanga kwa style hii sitaolewa.
6: 42 yrs at least unakuwa na vitu vyote vya msingi, sio Julia njaa ovyo.
7: 42 yrs hakuna cha kusema mnaenda kuanzia maisha, upya so mtafute from 0, kama nitafuta from 0 ungeoa ukiwa na 25.
8: huu ndio ukweli ingawa mnaukataa na matusi juu.
9: mm nikiolewa na 42 bas naenda kumwongezea miaka ya kuishi, kuhakikisha anakuwa kijana upya, sio kwenda kunilimisha Lisa ndoa.
👏👏👏 ukweli mtupu😁😁😁😁😁😁

[emoji15][emoji15][emoji15] kumbe naww umoo!![emoji23][emoji23]bado kidogo tu nikidhi vigezo,ufupi wangu umenigharimu[emoji22][emoji22]
hahaha! umefata nn huku wewe?😂😂
ufupi huu unanikosesha Mume.poor me
hahaha! umefata nn huku wewe?[emoji23][emoji23]
Mimi ni mume mtrajiwa