bado kidogo tu nikidhi vigezo,ufupi wangu umenigharimu[emoji22][emoji22]
asante mkuuπ’π’pole [emoji3][emoji3]
Sent usingJamii Forums mobile app
Masikio yako marefu hayo pia ni kasoro kubwa.bado kidogo tu nikidhi vigezo,ufupi wangu umenigharimu[emoji22][emoji22]
ππ jumlisha na vifaa vya kukaliaπ’π’Masikio yako marefu hayo pia ni kasoro kubwa.
umri wako huo sisi wengine watoto wako vidato sasa sijui ulichelewa wapi baharia wangu...naomba majibu tu
ID mpya zinatafuta mume au mke kwa kasi sana why??Mimi ni mume mtrajiwa
Umri 42
Urefu futi 6.2
65kg
Maji ya kunde
Naishi na kufanyakazi temeke/dar
Elimu-degree
-Nina hasira japo fupi
-Nina katabia ka kug'ang'ania
-wakati mwingine ni mchokoz kidogo
VINGINEVYO Mimi ni mpole na mkarimu
Natafuta aliyejiandaa kuolewa(MKE)
Aliyeelimika(hekima)
Mrefu,Umri 20 hadi 38
Asiwe au awe na mtoto
Asiwe au awe na kazi/biashara-ok.
Awe na kazi au kitu anachofanya kanisani
Asinifiche udhaifu wake
Awe Christian ,awe au asiwe na kabila
Tuwe serious tafadhali na sihitaji wa kuonja
Nathamini kila mdonyoo wa kidole chako
Asanteni,karibu ,tukutane pm .
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwenye kazi au kitu anafanya kanisani ndipo unapotaka kujichanganya.
Niaje napenda sana wanawake wafupi maana ndo ugonjwa wangu.... nakuja DMbado kidogo tu nikidhi vigezo,ufupi wangu umenigharimu[emoji22][emoji22]
πππNiaje napenda sana wanawake wafupi maana ndo ugonjwa wangu.... nakuja DM
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππ