masala akili
New Member
- Jan 25, 2017
- 1
- 0
Yuko tanzania na sku hizi kuna bombadier hata kama yuko kigoma na dar watafuatanaShemela unapatikana mkoa gani, au nije tu pm
ndo nataka niandae nauliYuko tanzania na sku hizi kuna bombadier hata kama yuko kigoma na dar watafuatana
Hahahaando nataka niandae nauli
new IDHABARI WANA JF NAJITOKEZA KWA MARA YA KWANZA KUTAFUTA MKE WA KUO.
JINA:Erickson
UMRI: Miaka 31,
KABILA: mkonongo,
DINI: Mkristu,
NCHI NAYOISHI:Tanzania,
UREFU : FT5.6,
RANGI : Mweusi,
ELIMU: Chuo kikuu,
KAZI :Mwajiriwa,
SIGARA: Situmii,
POMBE : Situmii,
JINSIA: MWANAUME,
NAMBA YANGU :0623058413,
Mwanamke ni mtakae awe na mapenzi ya dhati na anaye jua nini maana ya ndoa, Sina ubaguzi wa aina yeyote ile juu ya Elimu, kabila, Dini,kama anamtoto haina shida nacho jali ni upendo.Alie tayari ani PM au tuwasiliane kwanamba ifuatayo 0623058413 karibu Sana, Nacho jua mke anapatikana popote kwenye daladala, mskitini, kanisani, kazini n.k,Kwahiyo hata hapa Jf nipo sahihi kuandika hitaji langu, Asante Nahitimisha.
mkonongo ni nini?hivi mkonongo ni watu wa wapi???
kabila la mleta madamkonongo ni nini?
Mamamkonongo ni wa tanzania?
hao wanapatikana afghanistan.hivi mkonongo ni watu wa wapi???
Tabora, mpanda.....hivi mkonongo ni watu wa wapi???
Kweli mkuu, mama mtarajiwa amehangaika muda mrefu kutafuta mume nafasi ndio hiyo sasaMama
Si ametoa namba unge muuliza
Ukute ndio ata kufaa huyo
Aya changamka
HABARI WANA JF NAJITOKEZA KWA MARA YA KWANZA KUTAFUTA MKE WA KUO.
JINA:Erickson
UMRI: Miaka 31,
KABILA: mkonongo,
DINI: Mkristu,
NCHI NAYOISHI:Tanzania,
UREFU : FT5.6,
RANGI : Mweusi,
ELIMU: Chuo kikuu,
KAZI :Mwajiriwa,
SIGARA: Situmii,
POMBE : Situmii,
JINSIA: MWANAUME,
NAMBA YANGU :0623058413,
Mwanamke ni mtakae awe na mapenzi ya dhati na anaye jua nini maana ya ndoa, Sina ubaguzi wa aina yeyote ile juu ya Elimu, kabila, Dini,kama anamtoto haina shida nacho jali ni upendo.Alie tayari ani PM au tuwasiliane kwanamba ifuatayo 0623058413 karibu Sana, Nacho jua mke anapatikana popote kwenye daladala, mskitini, kanisani, kazini n.k,Kwahiyo hata hapa Jf nipo sahihi kuandika hitaji langu, Asante Nahitimisha.
Mpaka sasa haja ni reply apaKweli mkuu, mama mtarajiwa amehangaika muda mrefu kutafuta mume nafasi ndio hiyo sasa
Ukiwa Singida au Dodoma wenyeji kwa maana mgogo au mnyaturu akisema mkonongo ana maana ya mtu wa kabila tofauti na yakeWakonongo sio tabora mpanda..ila ni wilaya mpya ya inyonga ni kimji kidogo kilichopo mpakani mwa mkoa mpya wa katavi na wilaya ya sikonge kwa upande wa mkoa wa tabora