Weka CV yako inayoonyesha maisha yako kwa ujumla, usiache kueleza Dini yako, Kabila lako, kama una nyumba, umepanga, au uko kwa wazazi wako na unaishi mkoa na wilaya gani. Hizo ni kwa kuanzia baada ya hapo mawasiliano yatafuata. Siwezi kukuunganisha na dada yangu kabla ya kupata hizo sifa. Kutokana na umri wako inaonekana umechelewa kiasi kama unawatoto umeshazaa ueleze kabisa au kama ulishaoa mkeo akakutoka ueleze amekufa kwa ugonjwa gani na kama amekuacha ueleze tuu usione haya.