ukwajumtamu
Member
- Mar 6, 2015
- 15
- 14
Mimi ni mtumishi serikalini.Natafuta mke umri wake usizidi miaka 33.Awe dini yeyote.Angalau awe na elimu ya certificate yoyote ile.Nina elimu ya shahada moja.Sichagui kabila.Aliye serious anipm tutawasiliana zaidi
Vipi SITTI MTEMVU Hakufai?
Hujajimalizia utambulisho
ameacha nini madam?