Natafuta mke mwema

Kuna dada mmoja atakufaa mcheck kwa number hii ni msukuma wa Shinyanga pia 0687375004 yuko vizuri.
 
ULISHA chezea dada wa wenzako.....? unawajua? toka primary 36yrs BIKRA? Degree mfanybiasha? duu... samahn lakn NAPITA TU
 
Namhala utalapandika nkima wakutola umu!,jaga ukabhuje mukaya!
 
Mke mwema hutoka kwa bwana.
Hivyo nakushauri utafute aliyeachika ndio atakuwa mwema
 
kwa siye tunaotokea dodoma hatuhitajiki haaahahaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…