Natafuta mke mwema

alujaru

Member
Joined
Sep 17, 2013
Posts
30
Reaction score
1
sifa zangu ni:
Mrefu six feet, mweusi wastani, mkristo safi, msomi, mwembamba wastani



sifa zake awe;

mweupe, si mfupi awe wastani au mrefu, mkristo safi, msomi kuanzia diploma au zaidi,

awe ameajiriwa na anaejitegemea kimaisha mwenye uhuru wake. Hana mtoto,

kupima ni lazima kama kawaida,
mawasiliano ni 0682 374063

ambaye yuko tayari kwa maisha ya kudumu pamoja anakaribishwa na atoe shaka kuhusu mapenzi ya kweli.

 
umempotezea wapi tukusaidie kumsaka?

Anyway enzi zetu mke mwema alikuwa anatoka kwa Mungu, siku hizi anatoka kwa bank, ila sio FBME
 
Bw. alujaru pole sana. Bongo hii ya dotcom sijuwi. Maana ukisema mlokole ni balaa kwani wengi wao wamekuwa wameshachoka umalaya wanataka kupumzika na kujifanya wameokoka. Wavaa bui bui huko ndiyo balaa. Na hawa wa bongo fleva (feki) ni chupi mkononi. Pole sana!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…