Duh, jf inakila hitaji. Kuna wale wanaotafutaga waume humu ,vp hawana sifa?
NB. Ukipata na mimi nambie niweke cv zangu humu huenda nikapata mke wa nne . [emoji2][emoji2][emoji2] kwa jinsi wanawake wasikuhizi wasivyopenda ukewenza, sidhan kama ntapata +tive response kutoka kwao