usimuhifadhi,kwa nini wanaotafuta wote wanakuja na id mpya kwa nini wasiwe kama miss natafuta?siku nkiona id kongwe najitosa hizi mpya unaweza kuta kidume kilikuwa kinanfatilia nikamjibu mbovu akamind halafu kakuona pm lazima akamilishe mishe yake kulipiza kisasi

Duhhh....
Mkuu, ukifungua roho na ukachangamsha macho na kisha ukaunganisha na dot's utamjua kiulaini.....
Hii njema ni kongwe sana humu jamvini, na anapendelea jukwaa flani lenye ubishani ulio tukuka.... tehteehhh

Mkuu umesoma chekechea na primary ukamaliza, ukasoma secondary ukamaliza pengine ata chuo au college yoyote ya kusaka maisha umepitia,ata pita pita zako na mengine mengi, hko kwote hukuwaona mpk uje humu? Tuanzie hapo.