Dah! Huogopi?
Nilishangaa na kuanza kuogopa siku nilipoambiwa na rafiki yake kuwa naichanganya Serikali!!
Alikuwa gf wangu, akaenda kozi. Akakuta nimetafuta kifaa kipya Mnyarwanda! Yule dada alipigwa biti kwanza si raia wa Tz!
Demu akahama; mziki ukabaki kwangu.
Nilianza kuogopa.
Sijui uko wapi Afande!!!!????
Sent using
Jamii Forums mobile app