mitsubish canter inaanzia tani 1.5, tani 2, tani2.5, tani 3 na tani 3.5, hakuna canter tani 4 au tani 5, fusso ndio zinaanzia tani 4 hadi 6.
used ya japan kwenye show room tani 1.5 bila miln 25 hujapata gari, tani 2 na tani 2.5 bila miln 35-30 hujapata gari, tani 3 na tani 3.5 bila miln 40-35 hujapata gari .
used aliyotumia mbongo bei inaweza pungua kwa miln5-miln10 ni maelewanao yenu.