Madame B niambie jinsi gani wagumba wana angaika kutafuta watoto, na jinsi gani wagumba wanavyo nyanyapaliwa kwenye mafamilia huko/ usifanye mgumba ni chombo cha kuzuia wewe kuzaa tena, twapasa kuwa nao pamoja na kuwaombea pia ili Mungu wetu awasaidie nao wapate watoto, huyu jamaa hato kua na msaada kwa huyo atakae muoa zaidi ya kumtumia, na mwisho wa siku hata kumuacha, angesema anataka mke sio mgumba, miujiza ikatokea kashika mimba? Atamuacha, ? Unategemea nini kama sio kumuacha kama hao alio shindwa kuanzisha nao maisha hao alio zanao?
[MENTION=80055]Madame B[/MENTION] nakuheshimu sana wala sipendi kupingana nawe ila kwa hili bado hajatumia mawazo yenye busara.
Nafahamu sana noahism ni nini unachomaanisha.
Ila ungempinga tu bila kutumia hyo lugha yako.
Maana mpaka mie mwenyewe nimeshtuka.
Ila yeye amerahisisha kbs,
japo najua angesema kuwa anahitaji mwanamke ambae haitaji kuzaa tena au aseme Tasa?
Hapo pa Blue, Na Iwe Hivyo Miaka yote Mpendwa.
Na itakua na ipo ivyo dada yangu siwezi kukukosea heshima. Ila mie hadi leo bado na picha ya mgumba mmoja alivyo nyanyaswa hadi kupata kifo kwa ajili ya msongo wa mawazo na kujiona hana thamani katika dunia yetu. Jumapili njema
Na itakua na ipo ivyo dada yangu siwezi kukukosea heshima. Ila mie hadi leo bado na picha ya mgumba mmoja alivyo nyanyaswa hadi kupata kifo kwa ajili ya msongo wa mawazo na kujiona hana thamani katika dunia yetu. Jumapili njema
Am here Dear
Naomaba yafuatayo.
1. Kila ijumaa disco
2. Jumamosi Disco
3. Kila siku jioni Bar
kama upo tayari Ni PM.
Then tufanye taratibu, Lazima nijue hali yako ya kiuchumi na mvuto wa Sura pia.
Nataka nikitoka na wewe niweke heshima mtaani.
I mean if you are not handsome dont disturb yourself!!!
I have my chance
Sample ya wagumba wa hivi walikua watoa mimba na tabia za kua na wanaume zaidi ya wa 4 enzi za ubinti wao.
Umeanza unyanyapaa tena? Heh!
Teh! Teh! Teh! Teh! Teh! Teh!Sample ya wagumba wa hivi walikua watoa mimba na tabia za kua na wanaume zaidi ya wa 4 enzi za ubinti wao.
Donn upo?
Nipishie mbali, usifanye wagumba wana akili kama zako .. acha kebehi mtoto wa kike, ugumba unausikia au unaujua jinsi gani unavyo watesa mioyo yao?
Sijui umeamkia Mguu gani? Au na wewe ni mgumba?
Huyu kasema anataka Mgumba lately amesema yupo tayari pia na kwa m2 asiye na mpango wa kuzaa.
Mimi sina mpango wa kuzaa ndio nikaamua nichukue Chance. Sasa wewe mapofu yanakutoka ya nini?
Chukua time.
yah... Mi napitia pitia tu mkuu...
Na bado.
Ni binamu yangu,au hujaona.
Sema simjui kiundani ila ni binamu.