Natafuta mfuniko wa tecno j5

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,291
Habari wanajukwaa,

Kwa mwenye mfuniko wa simu tecno j5 unatafutwa kwa hali na mali kama unao tafadhali tufanye biashara.
 
Njoo uchukue mfuniko wa redio ya Rising
 
Zunguka kwenye vibanda vya mafundi simu, hutamaliza vitatu~vinne bila kuupata au watakuelekeza kwa kuupata.
 
Zunguka kwenye vibanda vya mafundi simu, hutamaliza vitatu~vinne bila kuupata au watakuelekeza kwa kuupata.
Nimekosa kariakoo nzima mkuu
 
Nimekosa kariakoo nzima mkuu
Pole mkuu. Kama hutojali umaridadi waambieni wakuundie wa bandia (modification) kwa kuwa hakuna kinachoshindikana kwa m Bongo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…