Natafuta Mfanyakazi wa Counter

Natafuta Mfanyakazi wa Counter

lawyer2

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
224
Reaction score
67
Wadau ninatafuta msichana wa counter kwenye Lodge ndogo ambayo ina mini bar..Lodge iko Morogoro mjini.Atafanya hapo pamoja na reception kama mwenzake atakua off.Msichana awe anajua kazi hii au angalau ameshawahi kufanya.Awe msataarabu,msafi na mwadilifu.Hata kama hakai Moro anaweza pata sehem ya kukaa hapo mpaka atakapo kuwa sawa.Kama yupo tuwasiliane kwa namba 0686 666666.Asante

Sent from my SM-G988B using JamiiForums mobile app
 
ukishampata utaniambia ili nione nawezaje kuwa mteja wa lodge yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom