Natafuta mdada wa kazi za ndani

Natafuta mdada wa kazi za ndani

youngkato

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
3,638
Reaction score
3,641
Vigezo awe anatokea kijijini, hatumii simu, umri chini ya miaka 20, hana mtoto, anaweza kufanya kazi zote za ndani.

Kuandaa watoto kwenda shule na kuwapokea.

Mshahara maelewano


Awe tayari kuishi Dodoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom