Natafuta mchumba

The End..

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2013
Posts
4,362
Reaction score
3,846
weka vigezo kwanza:
kama Dini, urefu, kazi, rangi ya ngozi, na mengineyo...!!!!
 
unafanya kazi gani? ha ha ha ha kipato muhimu buana.
 
Mnene bila picha, tutaaminije. Weka picha tuone kama inawezekana
 
natafuta mchumba,mim ni bint wa miaka 29,ni mnene,natafuta mume wa kabila lolote,kwa aliye tayar kuwa baba wa watoto wangu.

Maelezo yako hayajakamilika mkuu.

Jipange tena.
 
Watu mnaanzisha uzi wa kutega wenzenu ee
 
Ndio mkuu aweke picha, inawezekana kweli ni mnene lakini sisi tutaaminije??

Ndo ivo mkuu, kama mi napenda nipate mnene, ila hadi nione picha. Hivi hivi ni sawa na kuona umati kwa magufuli umejaa hafu kila mtu anapiga vidole viwili.
 
Ndo ivo mkuu, kama mi napenda nipate mnene, ila hadi nione picha. Hivi hivi ni sawa na kuona umati kwa magufuli umejaa hafu kila mtu anapiga vidole viwili.

Hahahahaaaaaaaa noma mnoo
 
mi natafuta mke sema nataka mwembamba so if we ni mnene basi sio ridhki yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…