kalikalanje
JF-Expert Member
- Jul 2, 2014
- 227
- 285
so mchumba utamsafirisha kuja UK au inakuaje.?
Miaka 50 .. Ulikua huna mahusiano hadi wafika umri huo
Mchumba anaishi Ukerewe au sijaelewa?Waliopita wote wajingawajinga..........huyu wa sasa ndio atakuwa spesheli.........
Waliopita wote wajingawajinga..........huyu wa sasa ndio atakuwa spesheli.........
Anzia kwa huyu lisa k manake naye anatafuta mwenza
Miaka 50 .. Ulikua huna mahusiano hadi wafika umri huo
Hili ndilo la muhimu..........wengine tunaona tu ndege zikipita uani..........afafanue......
Mchumba anaishi Ukerewe au sijaelewa?
Miaka 50 .. Ulikua huna mahusiano hadi wafika umri huo