mkalusanga
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 387
- 469
Vipi mjane ana nafas katika qualification zako?
Nakusahihisha hakuna mjane mwanaume ni "MGANE"
Mume mwema anatoka kwa Mungu binti. Sugua goti muombe Mungu atakuletea wa kwako.
Kama unajiona ni mwaminifu na unamuomba Mungu na hujapata mpaka sasa basi subiri ujue muda wako haujafika.