Nina miaka 28, jinsia yangu ni mwanaume, elimu yangu degree, ni muajiriwa.... natafuta mchumba popote, napendelea zaidi mweupe, asiwe kibonge , mcha Mungu, aliyetayari ani pm
Ww ni sitaki nataka, yaan unataka ila unaona aibu! Kama ingekuwa ni mm niliyeanzisha uzi huu ningekufuata PM, hapana shaka ni mhitaji pia! Acha masihara, watu wanaopoa wake wema kwenye madanguro, sembuse jf !!?