Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,838
Umbea tu unamsumbua huyu hana lolote
Kwa umbea tu hujambo. Kila ntakapokanyaga unyayo nawee umoo..
shemd Khantwe unamuona Honey Faith haamini maneno yako
Honey Faith kwanza nijue huyu shemd wangu Khantwe ni wifi yako kivipi?Na bado?Utajuta kuwa na wii kama mie.......
Upo tayari kwa mashambulizi?
Honey Faith kwanza nijue huyu shemd wangu Khantwe ni wifi yako kivipi?
Khantwe naomba unitolee maelezo kwa niaba yangumashambulizi gani tena bibie?
Honey Faith kwanza nijue huyu shemd wangu Khantwe ni wifi yako kivipi?
Kumbe sikujua
Haya ndio ujue kuanzia leo
Wewe si ni wa shost yangu ICHANA?
kashanimwaga kitambo, huwezi amini
Oooh jamani tatizo ni nini tena jamani?Mie nina mume tayari
alisikiliza maneno ya wanafiki akanitosa
habarn za asbh mi in me Wa 28yrs natafuta mwanamke Wa kuish nae ht kama kazaa kaachwa/katelekezwa ntaish nae tuu.sifa awe mkaz Wa singda.awe na kamzigo nyuma.maji ya kunde au black kias.mpole.ntampenda sana aliye tayar anipm 0784024004
Kama fundi mtongozee basi.
best usimsikilize huyu anakupima tuu hapa hatuachani miaka 800 ,,moyo wangu umesinyaa... nipe nafasi wewe
umewagwa na chepuko lako khantwe ...huwez amin mm na wewe hadi kiamaWewe si ni wa shost yangu ICHANA?
kashanimwaga kitambo, huwezi amini