Napiga hodi wana
JF humu mnikaribishe
Ila nitafurahi sana endapo nitakaribishwa kwa kutimiza ndoto ya maisha
yangu, mimi nipo single,ni mwanaume wa miaka 26 natafuta mchumba mdada
mwenye mapenzi ya kweli, sichagui dini, kabila, elimu wala rangi, umri
wake uwe chini ya miaka 25,kwa aliye tayari anitumie sms kupitia
0763175935.