Natafuta mchumba

Enkaly

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
307
Reaction score
428
Mimi kijana wa miaka 30, natafuta mchumba msomi aliyehitim chuo mwenye umri kuanzia miaka 23 hadi 26. Dini sichagui..

ukiwa tayari tuma CV yako!
 
Ww mbona hujaweka c.v yako....yani watu wasomeshe ww uje kuoa tu kiurahisi?
 
Mimi kijana wa miaka 30, natafuta mchumba msomi aliyehitim chuo mwenye umri kuanzia miaka 23 hadi 26. Dini sichagui..

ukiwa tayari tuma CV yako!

Sasa mkuu miaka 30 uje jf kutafuta mke kwel uko seious mwishowe hata mtoto utatafuta fb baada ya miaka 40
 
Huyo mchumba unaetafuta awe wa jinsia gani na ww ni jinsia gani? Maana Kuna straight, lesbian na gays siku hizi.... Dunia imekwisha,
 
Mchumba unataka kumtafutia kazi?
 
atakuwa freemason huyu....maana hawa watu huwa hawaweki wazi mambo yao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…