S samwely1 Member Joined Jan 2, 2014 Posts 12 Reaction score 3 Apr 14, 2014 #1 Nimemaliza chuo mwaka huu na nimeshapata kazi tayari. Naomba dada mwenye umri wa chini ya miaka 25 aliyetayari kuolewa na anajijuwa ni mzuri awasiliane nami kupitia chandesamwely@gmail.com
Nimemaliza chuo mwaka huu na nimeshapata kazi tayari. Naomba dada mwenye umri wa chini ya miaka 25 aliyetayari kuolewa na anajijuwa ni mzuri awasiliane nami kupitia chandesamwely@gmail.com
Evelyn Salt JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 77,080 Reaction score 165,194 Apr 14, 2014 #2 Chini ya miaka 25, wapo masomoni wanajitafutia elimu waje kupata kazi kama wewe....
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 619 Apr 14, 2014 #3 Evelyn Salt said: Chini ya miaka 25, wapo masomoni wanajitafutia elimu waje kupata kazi kama wewe.... Click to expand... naunga mkono hoja
Evelyn Salt said: Chini ya miaka 25, wapo masomoni wanajitafutia elimu waje kupata kazi kama wewe.... Click to expand... naunga mkono hoja
hashycool JF-Expert Member Joined Oct 2, 2010 Posts 6,555 Reaction score 2,838 Apr 14, 2014 #4 wako wengi sana bro!
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 53,246 Reaction score 50,468 Apr 14, 2014 #5 Kila la heri
mshana org JF-Expert Member Joined Jan 28, 2012 Posts 2,091 Reaction score 619 Apr 14, 2014 #6 samwely1 said: Nimemaliza chuo mwaka huu na nimeshapata kazi tayari. naomba dada mwenye umri wa chini ya miaka 25 aliyetayari kuolewa na anajijuwa ni mzuri awasiliane nami kupitia chandesamwely@gmail.com Click to expand... umeona wake ni sox?unakuja jf na kuwachagua kama vile umewah kuumba hata kidole?wife materials huwezi kumpata hivi.
samwely1 said: Nimemaliza chuo mwaka huu na nimeshapata kazi tayari. naomba dada mwenye umri wa chini ya miaka 25 aliyetayari kuolewa na anajijuwa ni mzuri awasiliane nami kupitia chandesamwely@gmail.com Click to expand... umeona wake ni sox?unakuja jf na kuwachagua kama vile umewah kuumba hata kidole?wife materials huwezi kumpata hivi.