kijani11 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2014 Posts 8,348 Reaction score 9,082 Mar 19, 2014 #21 Oa kabila lako.
K kipimo JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 828 Reaction score 118 Mar 19, 2014 #22 Speaker said: Kwahiyo kwako kifafa ni ugonjwa utakao kufanya usimuoe mtu? Click to expand... na sijui akipata kifafa akiwa naye atafanyaje!
Speaker said: Kwahiyo kwako kifafa ni ugonjwa utakao kufanya usimuoe mtu? Click to expand... na sijui akipata kifafa akiwa naye atafanyaje!
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,436 Mar 19, 2014 #23 Tuko said: Kabila la wachagga ukoo wa shirima... Click to expand... Miss chaga kazi ni kwake.
Seek Member Joined Oct 26, 2013 Posts 27 Reaction score 6 Mar 19, 2014 #24 Howt Lady said: Hmm tafuta mha mwenzio mtaendana Click to expand... sure! kama kabila ni dili bora ulivyomshauri wa kwao
Howt Lady said: Hmm tafuta mha mwenzio mtaendana Click to expand... sure! kama kabila ni dili bora ulivyomshauri wa kwao
nkungwe123 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 444 Reaction score 95 Mar 20, 2014 Thread starter #25 Tuko said: Kabila la wachagga ukoo wa shirima... Click to expand... Nalifanyia kazi kwa karibu sana wazo lako. Japo huku magharibi wakisikia mtu kaoa mchaga wanamuonea huruma sana. Ila mm natafuta Mke wangu iyo ni changamoto ndogo
Tuko said: Kabila la wachagga ukoo wa shirima... Click to expand... Nalifanyia kazi kwa karibu sana wazo lako. Japo huku magharibi wakisikia mtu kaoa mchaga wanamuonea huruma sana. Ila mm natafuta Mke wangu iyo ni changamoto ndogo
nkungwe123 JF-Expert Member Joined Mar 17, 2014 Posts 444 Reaction score 95 Mar 20, 2014 Thread starter #26 kipimo said: na sijui akipata kifafa akiwa naye atafanyaje! Click to expand... Nikiwa nae nakomaa ila sio nikifuate nakiona kileeeee.... kiapo cha kanisani kitanifunga km ni hali imejitokeza baada ya ndoa
kipimo said: na sijui akipata kifafa akiwa naye atafanyaje! Click to expand... Nikiwa nae nakomaa ila sio nikifuate nakiona kileeeee.... kiapo cha kanisani kitanifunga km ni hali imejitokeza baada ya ndoa