Natafuta mchumba

Gilka

Member
Joined
Nov 16, 2012
Posts
39
Reaction score
5
Mwenye umri kuanzia miaka 20-25. Awe anaishi arusha na pia awe afanya kazi ARUSHA . Mwalimu serikalini atapewa kipaumbele. Awe mkristo.
 
sasa hapa nauliza ww ni me au ke na kama ni ke basi niPM nimalize matatizo yako ila kama ni me safari njema
 
huna upande aseee yaani aidha wewe ni me au ke?
 
Funguka jinsi yako uone vijana wamo humu, wakufungulie mwaka.

Mwenye umri kuanzia miaka 20-25. Awe anaishi arusha na pia awe afanya kazi ARUSHA . Mwalimu serikalini atapewa kipaumbele. Awe mkristo.
 
Mi ME kama mna dada zenu washtueni. Nataka demu wa ndoa si wakutafuna na kumuacha.
 
Mwenye umri kuanzia miaka 20-25. Awe anaishi arusha na pia awe afanya kazi ARUSHA . Mwalimu serikalini atapewa kipaumbele. Awe mkristo.

Nenda Facebook.
 
Taja wasifu wako wa ndani na wa nje
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…