Mkuu demu hawezi tafuta mchumba kwa maana kila wiki haishi hajatongozwa mara 5 wengine hata mara 10 hawa dada zetu wanapata tabu sana kufanya selection ni nani amkubali nani ampige kibuti.
Mkuu demu hawezi tafuta mchumba kwa maana kila wiki haishi hajatongozwa mara 5 wengine hata mara 10 hawa dada zetu wanapata tabu sana kufanya selection ni nani amkubali nani ampige kibuti.
Duh huyo basi atakuwa ana gundu la milele kwa hiyo kama huyo hajapata mtu hata wa kumsifia inatokea mzee una rusha ndoano si fasta unachukua kitu kilaini?
Duh huyo basi atakuwa ana gundu la milele kwa hiyo kama huyo hajapata mtu hata wa kumsifia inatokea mzee una rusha ndoano si fasta unachukua kitu kilaini?
Duh sasa unaweza ukampata lakini ukaendelea kuwa NATO na ukashindwa kufaidi matunda ya uhuru ndo hapo sasa miaka inaenda wajanja wanakuja wanaweka ndani wewe bado unasubili.
fidel na chrispini ni noma. mmemfanya jamaa ashindwe kujieleza kama ni she au he. maana mumesema kama he domo zege, kama she pia basi anagundu. sasa unakimbiza bahati kwani njemba zilikuwa zinasubili kwa hamu aseme yeye ni she. hivi unajua kuna domo zege na mwingine anagundu hatokewi uoni hii ndio chance yao kukutana. but it is nice brainstorming
Hahahaha sure mkuu tunashangaa kwanini huyu mtu kaingia mitini na hasemi anataka mchumba wa aina gani na kwa ajili ya nn? Maana kama wa kuishi nae wapo kibao mitaani anako toka na anako ishi.