Mimi ni kijana wa makamo umri miaka 32, elimu yangu std 7, kazi mjasiliamali,
Natafuta mchumba ambae hatiae awe mke wangu. Umri 22~27 , elimu itapendeza asivuke 4m4, dini/kabila lolote, hata akiwa na mtoto ni sawa
Mwenye yupo tayari karibu pm tuianze safari