Bongo Contents
Member
- Jan 17, 2024
- 47
- 71
Sijiusishi na Content creation, sijajua acc ya kipi ?account yako ya youtube ni ipi
[emoji23][emoji109]Kijana,hutaki matako makubwa?
Hata hivyo,Hongera sana kwa kuwapunguzia vigezo
Mchumba + Msebule = Jumba.Sifa Zangu
Mm n wakiume [emoji1]
Mkristo
Nimejiajiri- (IT)
Sifa za Mchumba Γ2
Awe wa Kike
Umri From 19-25
Dini Yeyote
Aishi Dar es Salaam
Vingine Tutaviongea [emoji120]
Njoo inbox Tuyajenge [emoji171]
Does it sound Funny [emoji26]Mchumba + Msebule = Jumba.
Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
Umri wako? Isije kua kibabu kinataka kuvutwa na gari zima, ukatufujia wadogo zetu.Sifa Zangu
Mm n wakiume [emoji1]
Mkristo
Nimejiajiri- (IT)
Sifa za Mchumba Γ2
Awe wa Kike
Umri From 19-25
Dini Yeyote
Aishi Dar es Salaam
Vingine Tutaviongea [emoji120]
Njoo inbox Tuyajenge [emoji171]
Hahahaha hata FB ni Mishangazi labda akajaribu Tiktok na Insta.19-25 mkuu wapo fb
Huku tupo mashangazi tuliopigwa na mishale mingi ππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Hahahaha duuh! Sikupingi19-25 mkuu wapo fb
Huku tupo mashangazi tuliopigwa na mishale mingi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Uongoπ ,19-25 mkuu wapo fb
Huku tupo mashangazi tuliopigwa na kukoswakoswa mishale mingi ππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Utatapeliwa uanze kutuchosha na nyuzi za kulia lia hapa, afu upewe ban
We muache ajimix πππHahahaha hata FB ni Mishangazi labda akajaribu Tiktok na Insta.
Imeisha hiyo πππHahahaha duuh! Sikupingi
We mwenyewe unajua sema unachekea tumboni ππππUongoπ ,
Usiwafungue bahati warembo wenzako.
Sipendi uongo that's why nimesema ukweli.We mwenyewe unajua sema unachekea tumboni ππππ