Natafuta mchumba

mchizzy

Member
Joined
Jun 27, 2023
Posts
31
Reaction score
19
Awe mwembamba au wa kawaida sawa mweusi mweupe sawa awe simple tuu, miaka kuanzia 18 Hadi 22
 
Serious natafuta mchumbaa so Kama kweli uko na dada na Yuko tayari na anasifa Kama nilizo taja bas niko tayari mda wowote
 
Kila la kheri,ukapate hitaji la moyo wako 😊
 
ety ya udalali
naijua iyoo
Mtoto wa kiume unaandika "ety".

Vivijana vya siku hizi vinafanana kila kitu na dada zao kuanzia mavazi,kuwaza,kuongea,kutembea,kujipodoa mpaka kuandika.

Mungu awasaidie sana
 
Mtoto wa kiume unaandika "ety".

Vivijana vya siku hizi vinafanana kila kitu na dada zao kuanzia mavazi,kuwaza,kuongea,kutembea,kujipodoa mpaka kuandika.

Mungu awasaidie sana
Amein
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…