Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 May 3, 2011 #1 waungwana,mie ni kijana wa miaka 31,matafuta mchumba anaeishi mwanza,kama kuna alie tayari anianbdikie kwa mashakayurita@ymail.com
waungwana,mie ni kijana wa miaka 31,matafuta mchumba anaeishi mwanza,kama kuna alie tayari anianbdikie kwa mashakayurita@ymail.com
Ehud JF-Expert Member Joined Feb 12, 2008 Posts 2,685 Reaction score 338 May 3, 2011 #2 We ni kijana wa kike au wa kiume? Au unatafuta mchumba wa jinsia yako?
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,881 May 3, 2011 #3 Kalunguine said: waungwana,mie ni kijana wa miaka 31,matafuta mchumba anaeishi mwanza,kama kuna alie tayari anianbdikie kwa mashakayurita@ymail.com Click to expand... aaaahhh.....mi naishi Yaeda......kwani ni mbali na Mwanza?
Kalunguine said: waungwana,mie ni kijana wa miaka 31,matafuta mchumba anaeishi mwanza,kama kuna alie tayari anianbdikie kwa mashakayurita@ymail.com Click to expand... aaaahhh.....mi naishi Yaeda......kwani ni mbali na Mwanza?
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 May 3, 2011 Thread starter #4 mi dume,natafuta jike!
Da Pretty JF-Expert Member Joined Dec 9, 2010 Posts 3,059 Reaction score 1,153 May 3, 2011 #5 Kalunguine said: waungwana,mie ni kijana wa miaka 31,matafuta mchumba anaeishi mwanza,kama kuna alie tayari anianbdikie kwa mashakayurita@ymail.com Click to expand... Akipata sababu za kumuhamisha mwanza kama kazi au shule uchumba utakufa? All the best mkaka
Kalunguine said: waungwana,mie ni kijana wa miaka 31,matafuta mchumba anaeishi mwanza,kama kuna alie tayari anianbdikie kwa mashakayurita@ymail.com Click to expand... Akipata sababu za kumuhamisha mwanza kama kazi au shule uchumba utakufa? All the best mkaka
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,276 May 3, 2011 #6 Kalunguine said: mi dume,natafuta jike! Click to expand...

Dume la ng'ombe au mbuzi kuku nk. Halafu umekosea njia peleka lithread lako panapohusika...
Kalunguine said: mi dume,natafuta jike! Click to expand...

Dume la ng'ombe au mbuzi kuku nk. Halafu umekosea njia peleka lithread lako panapohusika...
Blaki Womani JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 11,228 Reaction score 13,448 May 3, 2011 #7 mafanikio mema
Feyanga JF-Expert Member Joined Jun 27, 2007 Posts 223 Reaction score 89 May 3, 2011 #8 Maskiniiii we nimekosa, mimi natafuta mchumba ila nipo Mang'ola, Haya bwana mafanikio mema.
B Baleley william New Member Joined May 4, 2011 Posts 4 Reaction score 0 May 4, 2011 #9 Sumbawanga hapa
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,235 Reaction score 10,424 May 4, 2011 #10 Mi nipo mpwapwa, nishafeli vigezo.
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 Jul 28, 2011 Thread starter #11 haya jamani nashukuruni kwa kukosa mchumba
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,235 Reaction score 10,424 Jul 28, 2011 #12 Kalunguine said: haya jamani nashukuruni kwa kukosa mchumba Click to expand...

hahahaha! Pole jamani, jaribu tena siku zijazo.
Kalunguine said: haya jamani nashukuruni kwa kukosa mchumba Click to expand...

hahahaha! Pole jamani, jaribu tena siku zijazo.
Yericko Nyerere JF-Expert Member Joined Dec 22, 2010 Posts 17,026 Reaction score 20,508 Jul 28, 2011 #13 Uzoefu wako wa nyuma huko upoje?