Onambali Member Mar 11, 2011 67 10 Apr 1, 2011 #1 Ndugu zanguni mimi ni kijana wa kibongo miaka 30, mbantu halisi na mkrisitu. Natafuta mchumba. Sifa: awe mwarabu au Mhindi na pia awe mcha Mungu mkristu. Umri kati ya 20-25. Maisha ni majaliwa na mapenzi ya kweli, Onambali
Ndugu zanguni mimi ni kijana wa kibongo miaka 30, mbantu halisi na mkrisitu. Natafuta mchumba. Sifa: awe mwarabu au Mhindi na pia awe mcha Mungu mkristu. Umri kati ya 20-25. Maisha ni majaliwa na mapenzi ya kweli, Onambali
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,193 Apr 1, 2011 #2 Haya sasa, wabantu soko lenu kwishney. Sahv tunakimbilia kwa wahindi na waarabu. Kuna wahindi fulani nimewaacha jukwaa la wakubwa, wasubirie kidogo.
Haya sasa, wabantu soko lenu kwishney. Sahv tunakimbilia kwa wahindi na waarabu. Kuna wahindi fulani nimewaacha jukwaa la wakubwa, wasubirie kidogo.
Preta JF-Expert Member Nov 28, 2009 24,323 18,793 Apr 1, 2011 #3 chinekeeee oooh....a a.....what now?
FirstLady1 JF-Expert Member Jul 29, 2009 16,792 5,375 Apr 1, 2011 #4 wewe hupati mchumba hehehehe utanambia:tape:
CPU JF-Expert Member Jan 13, 2011 3,863 687 Apr 1, 2011 #5 FirstLady1 said: wewe hupati mchumba hehehehe utanambia:tape: Click to expand... Atakupata wewe
Onambali Member Mar 11, 2011 67 10 Apr 1, 2011 Thread starter #6 Firstlady, tafadhali usinikatishe tamaa
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,193 Apr 1, 2011 #7 Firstlady na preta hamna kaasili kauhindi? Mimi zamani nilikuwa muhindi kabisa ila jua kali limenibadilisha
Firstlady na preta hamna kaasili kauhindi? Mimi zamani nilikuwa muhindi kabisa ila jua kali limenibadilisha
Husninyo JF-Expert Member Oct 24, 2010 23,723 9,193 Apr 1, 2011 #8 Onambali said: Firstlady, tafadhali usinikatishe tamaa Click to expand... mkuu hukatishwi tamaa, utabiri wa hali ya hewa ndio unaonyesha hivyo.
Onambali said: Firstlady, tafadhali usinikatishe tamaa Click to expand... mkuu hukatishwi tamaa, utabiri wa hali ya hewa ndio unaonyesha hivyo.
Onambali Member Mar 11, 2011 67 10 Apr 1, 2011 Thread starter #9 Nasubiri majaliwa, sitokata tamaa, mwenzenu nahangaika kweli namtafuta mwenza, nimechoshwa na ukapera
Nasubiri majaliwa, sitokata tamaa, mwenzenu nahangaika kweli namtafuta mwenza, nimechoshwa na ukapera
KWI KWI JF-Expert Member Mar 31, 2011 286 84 Apr 1, 2011 #10 Onambali, ONGEZA JUUDI KATIKAMAOMBI NA SARA ZAKO KWA MUNGU.....HAPO UTAMPATA TU.
Katavi Platinum Member Aug 31, 2009 41,983 12,702 Apr 1, 2011 #11 Mmmh!! Haya bwana Onambali kila la heri, ukimpata huyo mchumba usisite kuja kutueleza!
Onambali Member Mar 11, 2011 67 10 Apr 1, 2011 Thread starter #12 KWI KWI, nashukuru faraja, hilo litawezekana tu nami naamini
sweetdada JF-Expert Member Feb 17, 2011 517 169 Apr 1, 2011 #13 'mwarabu au muhindi awe mkristu'..Duuh! All the best. Ukipata utujulishe ee
M mja JF-Expert Member Nov 8, 2010 310 64 Apr 1, 2011 #15 kwi kwi said: onambali, ongeza juudi katikamaombi na sara zako kwa mungu.....hapo utampata tu. Click to expand... mke mwema natoka kwa mungu. Sasa bwana onambali huyo mungu akilkuletea mbantu utakubali....???? All ze besti
kwi kwi said: onambali, ongeza juudi katikamaombi na sara zako kwa mungu.....hapo utampata tu. Click to expand... mke mwema natoka kwa mungu. Sasa bwana onambali huyo mungu akilkuletea mbantu utakubali....???? All ze besti
Onambali Member Mar 11, 2011 67 10 Apr 1, 2011 Thread starter #16 mja, du! hapo pagumu panataka ufunuo zaidi. Kwa sasa naomba anipatie mhindi au mwarabu, moyo wangu unanielekeza huko
mja, du! hapo pagumu panataka ufunuo zaidi. Kwa sasa naomba anipatie mhindi au mwarabu, moyo wangu unanielekeza huko
Elia JF-Expert Member Dec 30, 2009 3,425 567 Apr 1, 2011 #17 All the best, angalia kuna warabu na wahindi wa Tunduma! sijui nao wananafasi?
Bishanga JF-Expert Member Jun 29, 2008 15,323 10,063 Apr 1, 2011 #18 mmmhhh Onambali unataka mwarabu/mhindi na awe mkristu?
Susy JF-Expert Member Feb 5, 2011 1,431 221 Apr 1, 2011 #19 nenda mtaa wa uhindini posta wamejaa tele!! humu tumejazana wabantu tupu!!!