Unamaanisha nin?Unataka ya aina gani maana hamkawii kusema ina maji.
Noted, aksanteTatizo lako lipo hapa Mdogo wangu
"...Natafuta mwanadada mchamungu na mchapakazi. ambaye tutakuwa wapenzi na baadae Wanandoa..."
Unatafuta mchumba au mpenzi?!
Tafuta Rafiki kwanza, Kisha mnapiga hatua kuelekea mahusiano ya "uchumba" na sio kuwa wapenzi.
Kila la kheri.
Ambacho hujaelewa hapo ni nini?Unamaanisha nin?
umeshaambiwa kwenye shida na raha we unalizia pato liongezekeAiseee subiri upate kipato cha uhakika unaharakia nini.
Mimi ni kijana wa kiume(25). Ndo kwanza nmemaliza Chuo. Sijawahi kuwa na serious relationship. Kwa sasa sina kipato cha uhakika. Natafuta mwanadada mchamungu na mchapakazi. ambaye tutakuwa wapenzi na baadae Wanandoa. Kama yupo naomba ani PM.
Naomba Hoja hii ichukuliwe kwa uzito wake.
The same me
Hahahaha nimekuelewa sana tena sanaUnataka ya aina gani maana hamkawii kusema ina maji.
Haya kila la heri, lakin hapa utaishia kupata vimeo tu, unless unataka mtu wa kudate naye tu, binafsi humu sina hamu kabisa bora usake huko mtaani kwenu. Nasubiri mrejesho
Ni kweli Rubii lakini mbona huku sasa kuna majaribu mengi kuliko mtaani?Hilo lilikua jaribu lako tu hata ungekutana nae wapi usingekimbia mapito yako
Ni kweli Rubii lakini mbona huku sasa kuna majaribu mengi kuliko mtaani?