Natafuta mchumba wa kiume

Nawewe hebu ni PM maana nina kigezo cha umri...nikuulize jambo: hivi mtu aliyetumbuliwa una mkubali? Kazi atapata mbele ya safari
 
Nyie wadada wa jamii hii uwa mnaishia kuzeeka bila kuolewa. endeleeni kutafuta wanaume mitandaoni na kwa vigezo na mashart.
Wanaoelewa hata hawajawahi kufanya upuuzi huu.

Ukifikisha miaka 38 hujaolewa sijui kama bado utakua na uhitaji wa hivo vigezo.
all the best
 
Akupe jibu maana naona yeye ni elimu pekaa anatanguliza
 
Huwa nacheka sana nikiona mtu anaiweka dini nayo ni kigezo.... aliyetuletea huu ugonjwa si mtu mzuri.

Ndoa ni furaha.. huenda furaha yako ikawa kwa yule hasiyekuwa wa dini yako.

Tumeamua kujipunguzia sample space alafu.... kila unapoweka kigezo basi ndio unajipunguzia chance.
 
Mkipatana mrudi kutuambia kwamba, mlitafutana apa na mmepatana!!
 
kila la kheri
 
Muwe mnaweka na picha maana mambo yakutafuta wachumba humu tena mtoto wa kike!! Inamaana hukp nje hawajakuona
 
Mme mwema anatoka kwa Mungu na pia kila kitu na wakati wake mmmmhhh sisi wanawak kumtongoz mwanaume siyo rahsi duh we noma na unaonekan unayawez haya kila la kheri mpndwa
 
Kigezo cha elimu ONDOA upate mwenza la sivyo utachelewa kupata mwenza.
 
Dunia imesha vaa nepi siku hizi wanaume wanaolewa Ee Mungu Njoo haraka tunasahau Kua Mume mwema na Mke mwema anatoka kwa Bwana
 
Vigezo nimekidhi nitafute pm tupange mipango ya harusi sawa baby
 
Ukiona mwanamke anatafuta mume kwa vigezo hivi ujue huyo ni mwoga wa maisha anataka mume mwenye uwezo lakini atakiwa kujua mapenzi sio elimu mapenzi ni mtu akupende kwa dhati toka moyoni na kuhusu kipato sizani kama kuna mwanaume atakuwa sio mtafutaji kila mwanaume anataka familia take iwe bora Ushauri tu Dada yangu hata me natafuta mke vigezo ajiheshimu yeye mwenyewe pia jamii hata na wazazi pia awaheshimu kama una unajiona unaheshima na uko tayari ni pm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…