habari wana jamvi wenzangu,mm ni kijana,22 ni muajiriwa serikalini,natafuta mchumba aliye serious nae,Ila awe anajishughulisha na kazi.info.......Pm
Hata mimi ni kijana. Unamtaka wa jinsia gani maana hata wewe husema jinsia yako. Dini some how ni muhimu katika mahusiano.
mchuchu!!!!!!!!!!!!!!!!???????
Bongo fleva
au aelewi maana ya pm